Hii ni aibu kubwa kwa vijana na viongozi wa kesho wanaolelewa na kupevuka chini ya siasa za kijamaa za Chama dola CCM

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
6,052
7,057
Alipata kuandika Yericko Nyerere; mwanazuoni, mwanamkakati wa chama kikuu cha upinzani Tanzania Chadema na mchambuzi wa siasa za mataifa kwa mintarafu ya kijasusi (wa kidola na wa kiuchumi). CCM jitafakarini upya kwakua kuna kundi kubwa la vijana wanaotafta siasa zenye mvuto ili wafuate mkondo.
20190114_201049.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili yangu inanituma aliyeandika hii thread ni Yericco Nyerere mwenyewe.

Refer mbwembwe alizojisifia hapo juu.
 
Back
Top Bottom