Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,342 Sep 22, 2014 #101 Heaven on Earth said: Bora ingekuwa kilemba cha kanga au kitenge... Taulo pozi la TAULO duh Click to expand... Ila labda mnamzuzua tu kwa vile mbongo,angetupia Kim kardishan au Rihanna ?
Heaven on Earth said: Bora ingekuwa kilemba cha kanga au kitenge... Taulo pozi la TAULO duh Click to expand... Ila labda mnamzuzua tu kwa vile mbongo,angetupia Kim kardishan au Rihanna ?
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Sep 22, 2014 #102 Viol said: Ila labda mnamzuzua tu kwa vile mbongo,angetupia Kim kardishan au Rihanna ? Click to expand... Ila mi sijaelewa ina maana alikuwa anatembea barabarani au alikua location...
Viol said: Ila labda mnamzuzua tu kwa vile mbongo,angetupia Kim kardishan au Rihanna ? Click to expand... Ila mi sijaelewa ina maana alikuwa anatembea barabarani au alikua location...
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,958 Sep 22, 2014 #103 King Kong III said: Biashara Matangazo. Click to expand... Ana upaja wa ukweli....Mie uyo mchizi mwenye namba 25 ndio sijamwelewa , kakaa kama punga kidizain.
King Kong III said: Biashara Matangazo. Click to expand... Ana upaja wa ukweli....Mie uyo mchizi mwenye namba 25 ndio sijamwelewa , kakaa kama punga kidizain.
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,342 Sep 22, 2014 #104 Heaven on Earth said: Ila mi sijaelewa ina maana alikuwa anatembea barabarani au alikua location... Click to expand... Nguo zingine ni too much,ukikatiza na kuvuta attention ya watu kupitiliza jishtukie pia,inawezekana ni location ya video ya bongo fleva
Heaven on Earth said: Ila mi sijaelewa ina maana alikuwa anatembea barabarani au alikua location... Click to expand... Nguo zingine ni too much,ukikatiza na kuvuta attention ya watu kupitiliza jishtukie pia,inawezekana ni location ya video ya bongo fleva
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,005 Reaction score 72,306 Sep 22, 2014 #105 matumbo said: Ana upaja wa ukweli....Mie uyo mchizi mwenye namba 25 ndio sijamwelewa , kakaa kama punga kidizain. Click to expand... Sio pozi la picha tu hilo
matumbo said: Ana upaja wa ukweli....Mie uyo mchizi mwenye namba 25 ndio sijamwelewa , kakaa kama punga kidizain. Click to expand... Sio pozi la picha tu hilo
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,460 Reaction score 6,001 Sep 22, 2014 #106 Gud gel gonna BAD...afu ana nyota ya kungunii maana kila anachofanya kinabuma
barracks Senior Member Joined Aug 8, 2014 Posts 103 Reaction score 25 Sep 22, 2014 #107 haina haja ya kujifunza chochot kutoka kwake
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,005 Reaction score 72,306 Sep 22, 2014 #108 charty said: Gud gel gonna BAD...afu ana nyota ya kungunii maana kila anachofanya kinabuma Click to expand... Hhhhaaa nyota ya mende kung`aa chooni tu
charty said: Gud gel gonna BAD...afu ana nyota ya kungunii maana kila anachofanya kinabuma Click to expand... Hhhhaaa nyota ya mende kung`aa chooni tu
miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,011 Reaction score 3,708 Sep 22, 2014 #109 charty said: Gud gel gonna BAD...afu ana nyota ya kungunii maana kila anachofanya kinabuma Click to expand... Yaani binti mzur lakin damu yake ni shidaaa
charty said: Gud gel gonna BAD...afu ana nyota ya kungunii maana kila anachofanya kinabuma Click to expand... Yaani binti mzur lakin damu yake ni shidaaa
Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,293 Reaction score 6,897 Sep 22, 2014 #110 Tony Gwanco said: Inafundisha nini jamii huu u supaster wa wapi huu Click to expand... Yaani wewe bado unawaza kupata la kujifunza toka kwa Jokate? Basi kazi unayo. Ova
Tony Gwanco said: Inafundisha nini jamii huu u supaster wa wapi huu Click to expand... Yaani wewe bado unawaza kupata la kujifunza toka kwa Jokate? Basi kazi unayo. Ova
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Sep 22, 2014 #111 Dinazarde said: Hhhhaaa nyota ya mende kung`aa chooni tu Click to expand... Hahahau mwanamke una maneno wewe nimeipenda hii
Dinazarde said: Hhhhaaa nyota ya mende kung`aa chooni tu Click to expand... Hahahau mwanamke una maneno wewe nimeipenda hii
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,005 Reaction score 72,306 Sep 22, 2014 #112 BADILI TABIA said: Hahahau mwanamke una maneno wewe nimeipenda hii Click to expand... Hhhheeeeeeeeeeeee :thumbup::thumbup::thumbup:
BADILI TABIA said: Hahahau mwanamke una maneno wewe nimeipenda hii Click to expand... Hhhheeeeeeeeeeeee :thumbup::thumbup::thumbup: