mtumishidc
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 513
- 181
Nadhani wanau ubaguzi kutokana na laini kama niya mda au mpya maana mimi laini yangu ya tigo mbona najiunga 1500 napata G.B 1.2dakika 200 tigo tigo na dakika 5 mitandao mingine siku 7 na hizo g.b naingia mtandao wowote internetTarehe 20/8/2018 mlikuwa na offer ya GB 1 na zaidi, leo mmeshageuka kama kinyonga MB 500 tena zenye mipaka.Hivi mnaijua thamani ya Tsh 1000/= kwa sasa au mnaona raha tu kuwageuza wateja wenu!!?TIGO TULIENI AU NDIO MAANA KUNA KAMPENI YA LINE MOJA ILI MTULE VYEMA!?View attachment 844388
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini wabague nami nilirudi kwao nikakutana na hiyo offer nikaona ina maslahi eeh ghafla wamegeuka!! Wanakera kwa kweli hawajui bajeti kwa sasa ndio mpango mzima!?Nadhani wanau ubaguzi kutokana na laini kama niya mda au mpya maana mimi laini yangu ya tigo mbona najiunga 1500 napata G.B 1.2dakika 200 tigo tigo na dakika 5 mitandao mingine siku 7 na hizo g.b naingia mtandao wowote internet

Mbona mimi leo nimejiunga na ikakubali au na mimi bando likiisha wananikata niniKwa nini wabague nami nilirudi kwao nikakutana na hiyo offer nikaona ina maslahi eeh ghafla wamegeuka!! Wanakera kwa kweli hawajui bajeti kwa sasa ndio mpango mzima!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini wabague nami nilirudi kwao nikakutana na hiyo offer nikaona ina maslahi eeh ghafla wamegeuka!! Wanakera kwa kweli hawajui bajeti kwa sasa ndio mpango mzima!?Nadhani wanau ubaguzi kutokana na laini kama niya mda au mpya maana mimi laini yangu ya tigo mbona najiunga 1500 napata G.B 1.2dakika 200 tigo tigo na dakika 5 mitandao mingine siku 7 na hizo g.b naingia mtandao wowote internet
Umejaribu kujiunga leo,hiyo kitu ya 1.2GB tangu jana haipo,jaribu sasa utufanyie screenshotNadhani wanau ubaguzi kutokana na laini kama niya mda au mpya maana mimi laini yangu ya tigo mbona najiunga 1500 napata G.B 1.2dakika 200 tigo tigo na dakika 5 mitandao mingine siku 7 na hizo g.b naingia mtandao wowote internet
My god! nimejiunga leo asubuhi imekubali lakini sasa hivi naangalia ile menu haipo tena ***** naona wameshakata wangese sana hawaUmejaribu kujiunga leo,hiyo kitu ya 1.2GB tangu jana haipo,jaribu sasa utufanyie screenshot
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee unawaza pombe tuu sisi tuna mawazo ya bado limekuwa aghali jf tutangiaje maana kuna vibando vya masharti ukijiunga kuingia jf haikubali kabisa huu mtandao wa jf sijui ukoje.Hiyo heading nikajua kinazungumziwa kinywaji pendwa konyagi.
Poleni sana mkuu, hali ndiyo hiyo hamna namna ni kupambana tu.Wee unawaza pombe tuu sisi tuna mawazo ya bado limekuwa aghali jf tutangiaje maana kuna vibando vya masharti ukijiunga kuingia jf haikubali kabisa huu mtandao wa jf sijui ukoje.
Yaani kuna bando ukijiunga ni watsap fb inst na twiter tuu.
You tube na jf haikubalu huu nao ni ubaguzi
Hyo kweli leo wameitoaKwa nini wabague nami nilirudi kwao nikakutana na hiyo offer nikaona ina maslahi eeh ghafla wamegeuka!! Wanakera kwa kweli hawajui bajeti kwa sasa ndio mpango mzima!?
Sent using Jamii Forums mobile app