Bonny Masih Senior Member Joined Apr 20, 2014 Posts 120 Reaction score 31 Jan 9, 2015 #1 Hii nyumba sijui ina wachawi wajameni yani nimesema nijiegeshe kidogo si nimeota nawapigia mbuzi gitaa takribani mbuzi 100 cha ajabu wakaanza nao kucheza kwaito eeehh mungu nisaidie mimi hawa majini tu mungu wangu
Hii nyumba sijui ina wachawi wajameni yani nimesema nijiegeshe kidogo si nimeota nawapigia mbuzi gitaa takribani mbuzi 100 cha ajabu wakaanza nao kucheza kwaito eeehh mungu nisaidie mimi hawa majini tu mungu wangu
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,599 Jan 9, 2015 #2 Furahia maana mbuzi wamekuelewa namna ulivyo mjuzi wa gitaa