Nimeota ndoto nipo napita mahali naona gari zenye rangi ya kijani zimepaki lakini ghafla nilitazama juu nikaona ndege wengi sana wa angani wakiwa wanazunguka juu ya yale magari
Hii ndoto unaweza kuwa inaashiria Nini.
Kwa kumbukumbu ni kama nilikuwa naziona gari za chama tawala CCM naziona gari msimu wa uchaguzi zimeleta watu kwenye mkutano
Hii ndoto unaweza kuwa inaashiria Nini.
Kwa kumbukumbu ni kama nilikuwa naziona gari za chama tawala CCM naziona gari msimu wa uchaguzi zimeleta watu kwenye mkutano