Hii ndoto ina maana gani?

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,835
3,421
Habari wakuu naomba mwenye ujuzi anisaidie tafsiri ya hi ndoto

Ndoto ilivokua

Ilikua Ni majira ya saa 11 jioni.

Nilitoka ndani na kuanza kuangalia juu angani.

Niliona mawingu makubwa yalikuwa yakitembea kutoka magharibi kuelekea kusini ghafla yale mawingu yalibadilika na kuwa Simba wengi wakubwa sana, waliokua wakiunguruma kwa sauti na kutembea Kutoka magharibi kuelekea kusini.

Wakati hayo yakiendelea ghafla nuru kubwa sana iliokua na mwanga mkali ilichomoza magharibi kitu kilichonishtua sana na kunifanya nikurupuke Kutoka usingizini.

Nimeshindwa kuelewa hii ndoto ina maana gani.

Wajuzi mnisaidie.
 
TUNASISITIZWA KUFUATA KANUNI ZA AFYA NA MAELEKEZO YA WATAALAMU NA SIO WANASIASA
 
IMG-20200507-WA0013.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
mimi mwenyewe naota sana za hivi,usinielewe vibaya.
 
ulijuaje kama ni saa 11 jion?
nenda kagoogle simba anamaana gani kwenye ndoto?
kila siku sa jioni midaa iyo 11 huwa unafanya nn?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom