Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,870
- 18,282
Azam mdhamini wa ligi... Azam mdhamini wa Kombe la shirikisho..... Azam anahairishiwa mechi akashiriki bonanza Zambia Hii haipo popote duniani.... Kama sio kupanga matokeo ni nini wanatufuta hawa TFF .... Hiyo mbeleko imegoma karudi kashikiliwa mechi zake.... Katoa sare..... TFF wameona halitoshi.... Azam ilikuwa icheze leo jumanne na stand utd.... Yanga na African sports wamalize vimeo vyao.... Kurupuuuuu wameahirisha mechi ya Azam na Stand, unajua sababu nini!!! Sikia sasa.... Sababu ni kuwa Azam fc wana mechi jumapili afrika kusini ya confederation cup.... Cha kuchanganya mbona mtani wangu Yanga leo anacheza na African sports lakini jumamosi ana mechi ya champions league dhidi ya Apr!!!! Kwa nini wasingeahirisha na Hii kuwapa mda Yanga nao kujiandaa kama suala ni uzalendo!!!! Hivi tukisema Kuna harufu ya kubebana na kupanga matokeo tutakuwa tumekosea..... Sijakuta mtu careless mpuuzi kama Malinzi.... Mjomba Magufuli hili jipu huna uwezo nalo....