Vunjavunja
Member
- May 18, 2012
- 92
- 11
Taarifa za chini kutoka kwenye uongozi wa chuo zinasema kuwa hadi sasa hakuna fedha yoyote kutoka HESLB, hivyo kutokana na ungozi wa chuo kuona matatizo waliyo nayo wanafunzi hasa ukosefu wa chakula umesema ifikapo tar 4 ya mwezi wa june kama hela hiyo itakuwa haijafika chuo itawalizimu kufunga chuo mpaka pale serikali itakapopata fedha. Je mimi nauliza hawalitambui kuwa mambo kama haya yanawahalibu wanafunzi kisikolojia ktk masomo yao.serikali ni kweli wamekuwa masikini hadi wa kukosa fedha ya kuwakopa wanafunzi huu ni upumbavu ambao wanaufanya ni vyema nchi hii kuongozwa kidikitata kuliko kuwa na serikali mgando kama hii.
Kwani UDOM si ndio ngome ya baba Riz au!? imekuwaje tena???

UDOM muilimchukulia form kikwete ya urais,vip leo tena?
Kama haya ni ya kweli basi mimi nitawashangaa wanafunzi wa UDOM, watakuwa ni wehu waliopindukia kuendelea kusubiri hadi tar 4 June bila chakula. Halafu hata chuo kikifunga hao wanafunzi wataendaje kwao. Maana kwa hakika hata nauli hawana sasa, utaongeleaje kufunga chuo? Watakwenda wapi baada ya kufunga chuo? Anyway ni idea nzuri pia maana inaweza ikawa ndiyo chanzo cha kuangushwa kwa serikali hii ya kihuni.
Toka juzi uongozi wa chuo ulikua na vikao vya ndani kujadili kuhusu hilo swala la wanafunzi kutopata mikopo yao,na agenda nyingine ilikua swala la Mracha kufukuza ovyo wahadhili na majibu yake yasiyokuwa ya kistarabu na maadhimio yao ni pamoja na hilo la kufunga chuo ifikapo tarehe 4 na kumuandikia Rais kutengua uteuzi wa Mracha kuongoza taasisi hii.