SheeeeeeddaaaaHata hivyo, wapinzani wanavurugwa sana, wangefanya mambo mengi!
Sawa msemaji wa chamaKusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Gigy money naona upon katika ubora wako......jitahidi kutoa pongezi na siyo kuitafutia sababu hiyo pongezi!!! Veepy Dada ukuu wa wilaya umenyimwaaaa!!!Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
unafikiri kwa kutumia kalio mojaKusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Ni kweli hawezi kufanya siasa za majitaka kama mlizomfanyia akakatwa kwa figisu na mwishowe mkaumbuliwa na wananchi!! Hakuna kurudi nyuma...mmeanza wivu na kutaka kumletea mizengwe,Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
ALIELEKEZA DOLE LA KATI KWA JUU HUKU VIDOLE VINGINE AKIWA AMEVIKUNJA
Kidogo Cha wapinzani kinaonekana️kikubwa Cha chama tawala kimeenda Kwa lugumi
Muheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil D Mwambe leo ameendelea kutimiza ahadi zake kwa kutekeleza ahadi ya Sementi tani 27 kwa ajili ya ujenzi wa Madarasa. Muheshimiwa Mbunge alipata nafasi ya kula Chakula na Wapiga kura wake wakawaida kabisa. Muheshimiwa Mbunge aliongoza zoezi Hilo yeye mwenyewe jambo ambalo lilipongezwa na wananchi..
Stupid. Wewe siku ukiwa na akili ukachangia cha maana dunia itakuwa giza tororo.Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Eliza bonny una ngozi ngumu kama ya kenge! Hukosi neno la kuchomekea hata pale pasipo stahili.Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Atakae rudi ccm sio mzima deep down he is weak na anaeota ndoto ya 2020 ccm itakuwa madarakaani deep down yupo stage ya kwanza inaitwa denials.Kusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM
Mpuuzi weweKusini hakuna wapinzani. Huyo Cecil alikuwa CCM hadi hatua ya mwisho ambapo jina lake lilikatwa kwa kumlinda mtu fulani. Ndio maana huwezi kumsikia Cecil akifanya siasa za maji taka na kuna taarifa kuwa 2020 anarudi CCM