Hii ndo picha halisi ya kinyamkera/kibwengo

...wadudu wa kwenye movie,ukikutananao wenyewe kama huna Mungu lazima akukalishe tu...
 
Nimeliona li free mason na mijihela
 
Kuna nyimbo moja ya zamani ina mahadhi kama ya mdundiko hivi niliisikia kipande wanaimba Kinyamkera sijui aliimba nani ule wimbo?
 
Imaginary drawing tu hizi hakuna lolote..

Nilitegemea kuona picha ya digital cam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…