Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,959
Yaani mulemule!! Kweli duniani wawili wawiliJamaa naye atengeneze kofia ya chui
Lord AtkinAmani iwe nanyi
Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe
Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa
1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa wanajifanya wanamuabudu kama Mungu kumbe ni binadamu tu
2. Wasanii wa Congo walifika hatua ya kutunga nyimbo za kumsifu na kumuabudu Mobutu Sese Seko. Nyimbo hizi ziliimbwa hadi kwenye halfa za kiserikali na shughuli za Chama chake.
3. Mobutu alipaendeleza sana kijijini kwake na kupaweka kifahari
4. Mobutu alipenda sana kusifiwa na kuwatawala watu hadi kwenye mambo yao binafsi. Alihusudu sana kuogopwa na alijiona yeye ndo kila kitu.
5. Chama tawala enzi zake kilimuona kama Mungu na kuwakebehi wapinzani wake na hata kuwaua na kuwapoteza wengine kwa kupitia vikosi vya ulinzi na usalama
6. Majina halisi ya Mobutu yalikuwa Joseph Mobutu
7. Mobutu alitumia uzalendo Kama silaha ya kuangamiza wakosoaji wake.
Na mwisho
Ukweli ulikuja kmuangusha Mobutu Sese Seko kuwa si lolote si chochote!
Baada ya kuangalia documentary hii, nimehitimisha kuwa kumbe hakuna jipya chini ya Jua. Yote ni marudio tu!
Kama una bundle la kutosha angalia mwenyewe👇
cc: Salary Slip Erythrocyte Sky Eclat residentura Mshana Jr Crimea Wakudadavuwa YEHODAYA GENTAMYCINE Victoire
Ule siyo uchaguzi upimbi mmefanya wenzako wameshanyamaza we bado unakata mauno humu kwa ushindi fekiNitaanza kukuombea angalau msongo wa mawazo ulionao kutokana na kipigo cha October 28th ukutoke, usikute tunakuchukulia pouwa kumbe upo katika stage za mwishoni kuchanganyikiwa.
Ule siyo uchaguzi upimbi mmefanya wenzako wameshanyamaza we bado unakata mauno humu kwa ushindi feki
Kweli Mungu fundi. Eneo la maziwa Makuu anazungusha watu walewale ili tujue ukuu wakerole model wa jiwe ni mobutu , mobutu nae alishindwa kwa asilimia 99% alipoulizwa na waandishi akajibu “uchaguzi ulikuwa mgumu mno ilikuwa vigumu kuwashawishi wananchi kwamba uchaguzi ni karatasi mbili ya kupinga na kukubali,wao waliamini mimi tu ndio nafaa”
Kweli kwa Yale makura ya wiz isingewezekanaNitaanza kukuombea angalau msongo wa mawazo ulionao kutokana na kipigo cha October 28th ukutoke, usikute tunakuchukulia pouwa kumbe upo katika stage za mwishoni kuchanganyikiwa.
Huruma ipeleke kwa mungu wako wa chato maana wadhani kuwa inawezekana kujifanya mungu wa Tanzania na kutawala mileleNawaonea huruma jamani mtaendelea kuomboleza mpaka lini?
Jipangeni kwa 2025.
AnayoJamaa naye atengeneze kofia ya chui
Hata mwezi bado sasa mpaka miaka 5 ipite si mtaokota makopo...hebu jifunzeni ku let it go na mjipange kwa 2025.H
Huruma ipeleke kwa mungu wako wa chato maana wadhani kuwa inawezekana kujifanya mungu wa Tanzania na kutawala milele
Hakuna jipya hapa duniani muhurumie anko wako pimbi wewe
Amani iwe nanyi
Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe
Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa
1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa wanajifanya wanamuabudu kama Mungu kumbe ni binadamu tu
2. Wasanii wa Congo walifika hatua ya kutunga nyimbo za kumsifu na kumuabudu Mobutu Sese Seko. Nyimbo hizi ziliimbwa hadi kwenye halfa za kiserikali na shughuli za Chama chake.
3. Mobutu alipaendeleza sana kijijini kwake na kupaweka kifahari
4. Mobutu alipenda sana kusifiwa na kuwatawala watu hadi kwenye mambo yao binafsi. Alihusudu sana kuogopwa na alijiona yeye ndo kila kitu.
5. Chama tawala enzi zake kilimuona kama Mungu na kuwakebehi wapinzani wake na hata kuwaua na kuwapoteza wengine kwa kupitia vikosi vya ulinzi na usalama
6. Majina halisi ya Mobutu yalikuwa Joseph Mobutu
7. Mobutu alitumia uzalendo Kama silaha ya kuangamiza wakosoaji wake.
Na mwisho
Ukweli ulikuja kmuangusha Mobutu Sese Seko kuwa si lolote si chochote!
Baada ya kuangalia documentary hii, nimehitimisha kuwa kumbe hakuna jipya chini ya Jua. Yote ni marudio tu!
Kama una bundle la kutosha angalia mwenyewe👇
cc: Salary Slip Erythrocyte Sky Eclat residentura Mshana Jr Crimea Wakudadavuwa YEHODAYA GENTAMYCINE Victoire
Hata mwezi bado sasa mpaka miaka 5 ipite si mtaokota makopo...hebu jifunzeni ku let it go na mjipange kwa 2025.
Muhimu acheni siasa za kiharakati mje kwenye siasa za kimifumo kuanzia shina hadi Taifa, hata mbuyu huanzia mizizi chini ndo unakwenda juu na kuwa mpana.
Amani iwe nanyi
Nimeambatanisha na video ya documentary ya Mobutu Sese Seko, aliyekuwa Raisi wa Congo ( Zaire) ili wajumbe mjionee wenyewe
Nilichogundua kutoka kwenye documentary hii ambayo ina sub-title ya kiingereza ni kuwa
1. Mobutu alitengeneza kundi kubwa sana la wanafiki waliokuwa wanajifanya wanamuabudu kama Mungu kumbe ni binadamu tu
2. Wasanii wa Congo walifika hatua ya kutunga nyimbo za kumsifu na kumuabudu Mobutu Sese Seko. Nyimbo hizi ziliimbwa hadi kwenye halfa za kiserikali na shughuli za Chama chake.
3. Mobutu alipaendeleza sana kijijini kwake na kupaweka kifahari
4. Mobutu alipenda sana kusifiwa na kuwatawala watu hadi kwenye mambo yao binafsi. Alihusudu sana kuogopwa na alijiona yeye ndo kila kitu.
5. Chama tawala enzi zake kilimuona kama Mungu na kuwakebehi wapinzani wake na hata kuwaua na kuwapoteza wengine kwa kupitia vikosi vya ulinzi na usalama
6. Majina halisi ya Mobutu yalikuwa Joseph Mobutu
7. Mobutu alitumia uzalendo Kama silaha ya kuangamiza wakosoaji wake.
Na mwisho
Ukweli ulikuja kmuangusha Mobutu Sese Seko kuwa si lolote si chochote!
Baada ya kuangalia documentary hii, nimehitimisha kuwa kumbe hakuna jipya chini ya Jua. Yote ni marudio tu!
Kama una bundle la kutosha angalia mwenyewe👇
cc: Salary Slip Erythrocyte Sky Eclat residentura Mshana Jr Crimea Wakudadavuwa YEHODAYA GENTAMYCINE Victoire
Tatizo kile kichwa kitatosha size ipi?Jamaa naye atengeneze kofia ya chui
Soma post no 23 utapata jibu au kimombo kinakupiga chenga?kwahiyo unataka kusemaje?