Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,815
Kama inavyoonekana kwenye picha hiyo ni Meli ya kwanza ktk USA ikishusha Gesi asilia (natural gas) Ulaya, ikumbukwe kwamba USA alilobby Umoja wa Ulaya ambao kwa miaka yote walikuwa wakitegemea gesi ktk Urusi kuiwekea Urusi vikwazo kwa Kiuchumi kwa kisingizio cha ugomvi wa Ukraine na Urusi!
Kumbe nyuma ya pazia Marekani alikuwa anataka apewe yeye nafasi aliyokuwa nayo Urusi ya kuuza natural gas Ulaya, sasa yametimia Marekani wameingiza Meli ya LNG Bara Ulaya iliyojaa natural gas na kuanza kuuza kama export huku Urusi akiwa amewekewa vikwazo vya kiuchumi!
Hii yote inazidi kuthibitisha kwamba nchi hiyo inaweza tu kusurvive kwa kutumia nguvu na ushawishi wake lkn siyo ushindani per se kwani ukiwapa ushindani aidha watakupiga mabomu au watakuwekea sanctions, tuliona Zimbabwe aliwekewa sanctions kwa sababu Marekani na wenzake walikuwa wanataka Almasi kubwa iliyoko Zimbabwe ambao Mugabe aliitaifisha hivyo wakafanya kampeni na ku label ,,bloody diamonds" yaani almasi yote inayotoka Zimbabwe isiuzwe Duniani, lkn Coltan ya ktk Kongo ambao ndiyo wanaitumia kutengeneza smart phones zote wamekataa kuiita bloody coltan!
Kama kila kitu kikiwa fair Wazungu wa Marekani hawawezi kucompete Dunia hii, wanaweza tu kwa kutumia mabavu na ndiyo maana Bajeti ya Jeshi la Marekani ni kubwa klk zote Duniani kwa kiasi kikubwa sana!, walimuua Gadafi kwa lengo hilo hilo kuondoa ushindani