wilson peter
Member
- Dec 20, 2012
- 32
- 10
dah nipo kwenye foleni maeneo ya ubungo apa, nimeshuhudia kijana wa watu tena mkakamavu tu akiwa na kibegi chake akikaribishwa mjini na hawa jamaa wa karata 3 au mda mwingine hutumia vipande vya biskuti kwa mtindo ule ule wa kutaka kujipatia mkwanja faster faster. Alikuwa analia ila wasamaria wanamfariji na kumwambia "wezi wale, na ukiwafata watakuchoma visu ".
vipi nduguzanguni, hakuna aliewahi kuingizwa mjini maeneo haya ya ubungo kwa style yoyote ile?? tuwe wakweli tu.
Nipo kwenye foleni maeneo ya Ubungo hapa, nimeshuhudia kijana wa watu tena mkakamavu tu akiwa na kibegi chake akikaribishwa mjini na hawa jamaa wa karata 3 au mda mwingine hutumia vipande vya biskuti kwa mtindo ule ule wa kutaka kujipatia mkwanja faster faster. Alikuwa analia ila wasamaria wanamfariji na kumwambia "wezi wale, na ukiwafata watakuchoma visu ".
Vipi ndugu zanguni, hakuna aliewahi kuingizwa mjini maeneo haya ya Ubungo kwa style yoyote ile? Tuwe wakweli tu.
miaka ya 1999 walinila hela zangu za shule sana nikawa napiga deshi mda wa lunch
Nilivyokuja kustuka nikawapotezea hawakuniona tena.
Wale jamaa vimeo sana
mkuu umenifurahisha sana.. inaelekea kila mda wa lunch ulikuwa unawakumbuka majamaa.
Kuna mmoja kasema alikuwa analiwa mwaka 1999!!!!Watu walikuwa wanamfariji kwa nini?? Hivi hadi leo kuna watu bado wakiona sehemu wanachezesha karata 3 nao wanacheza wakitegemea kushinda? Hata kama umetoka bush leo, huu wizi ulishagunduilka na kutadhalishwa sana toka miaka ya 80's kweusi huko!