Hii ndiyo siri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

<br />
<br />
Hivi wewe baba unalipwa shngapi mmm kila mahali upo
 
Tumeweza na tunasonga mbele.. Chagua ccm ili uishi kwa amani na usalama.
 
Ccm ndiyo chama kilicho kulea na kukufanya uishi kwa amani.jamani amani haiuzwi.! Tunapaswa tuungane ili tujenge nchi. Maswala ya siasa tuweke pembeni.
 
Viongozi wa ccm hawana ujasiri wa kukubali kuwa chama chao na mbinu zao zilikuwa za kupigania uhuru wa bendera na sasa mbinu hizo hazifai tena kumkomboa mtanzania kutoka kwenye lindi la umasikini. Litakuwa jambo la busara wakitambua kwamba hivi sasa Tanzania inahitaji uongozi wenye maono ya kuweza kupambana na utandawazi wa duniani ambao Kikwete na genge lake hawana. Nchi inahitaji watu wengine wa kuingoza ili ifikie the next level!! Usomaji wa bajeti ya mwaka huu bungeni ni kielelzo tosha ya tofauti ya uongozi wa ccm na ule unaohitajika ili nchi iendelee; Mkullo alisoma bajeti yake akiwa na lundo la makaratasi lakini waziri kivuli toka upinzani hakuwa na lundo la karatasi bali alisoma hotuba yake toka kwenye iPad!!Hii ndio tofauti kati ya uongozi wa ccm na ule nchi unaouhitaji yaani innovative leadership.
 
Amen, kuna wakati huwa unaamua kuwa fair.

"Wakati umefika tusizungushane na kuhadaiana; kama mafanikio yaliyopo leo Tanzania ni matokeo ya sera nzuri na uongozi mzuri wa CCM basi matatizo yaliyopo nayo ni lazima wawe tayari kuyakubali kuwa yametokana na sera na uongozi wao mbaya. Haiwezekani kocha apewe sifa wakati timu imeshinda lakini wakati timu ikifungwa tuanze kutafuta wachawi!"

Ungekuwa fair kama hapo kwenye green ungepaweka red. Kwa sababu hiyo haupo fair

 
Ccm ndiyo chama kilicho kulea na kukufanya uishi kwa amani.jamani amani haiuzwi.! Tunapaswa tuungane ili tujenge nchi. Maswala ya siasa tuweke pembeni.

Join Date : 13th July 2011; Posts : 13; Rep Power : 0 Nameshududia upuuzi wa aina yake. Unazungumzia amani au woga wa kuogopa dola.
 
M.M Mwanakijiji,
Kwa mtu yeyote aliye muwazi, mkweli na mwenye dhamira njema na taifa hili atapata machungu akiyafahamu haya. Ndio maana wako tayari kuua ama kumdhibiti mtu kwa gharama yoyote ili watanzania wasijue. Ahsante sana kwa analysis yako nzuri.
 
siku zao magamba zinahesabika cheki utabiri wa pweza huo hapo juu kwenye avatar,kuna aliejuwa leo gadafi atakuwa mkimbizi kwa raha alizokula 42years ata yeye hawezi kuamini kilichomkuta nadhani anaona kama ndoto akiamka mambo yatakuwa kama yalivyokuwa sasa ishindwe kutokea kwa hawa magamba people's power
 
Ccm ndiyo chama kilicho kulea na kukufanya uishi kwa amani.jamani amani haiuzwi.! Tunapaswa tuungane ili tujenge nchi. Maswala ya siasa tuweke pembeni.
<br />
<br />
ACHA WOGA WEWE.
AMANI-AMANI,
amani bila haki? ona ulivyo zeeka na ugonjwa wa CCM.unaumwa magamba wewe vua hayo magamba upone ohohoo utakufa zezelo ohoh!
 
Mwnakijiji unahoja, achana na wanaobeza. Wamelishwa unga wa' ndele', unahitajika unga wa" rutuba" ili kuwazindua na kuwokoa.
 
nilisema tuna maadui wanne kwasasa tuwapige vita ili tuendelee nao ni MARADHI,UJINGA,UMASKINInawa nne ni CCM
 
CCM inadhani watanzania wataendelea kuwa wajinga siku zote! Bila aibu wanajinadi kuwa wameleta maendeleo na amani nchini wakati maendeleo ni ya watu wachache tena asilimia kubwa kati yao ni wale walipata nafasi ya kufisadi nchi! Mie nikiona hohehahe wanashabikia ccm nakereka kupita kiasi! Maana ndio wanao irudisha ccm madarakani!
 


Hapa umemuua kabisa Fisadi papa hawezi kusema kitu leo, yeye anafahamu huo ukweli.
 


nimependa kwenye article yako unavyotumia.... nukuu za vitabu vya mtunzi/watunzi mahiri wa zamani wa kipindi hicho... enzi za wahusika wa kuu wa hadith hizo...kina william GAmba (Angalizo: Hana undugu na CCM Gamba ) pamoja na kina Joroma Kiango.... Good article Mw Kijiji.... ila to me its not secret anymore ... everything you have just explained is wide, open and clear... even a goofy man doesnt needs "eagle eyes" to see, feel it
 
nilikuwa maeneo ya mwanza jana mitaa fulani, akaja mzee mmoja amevaa tisheti ya ccm halafu vijana wakamwambia laive kuwa alitakiwa awe amekufa na kama itafika mwaka 2015 hajafa watawaua wote wanaovaa nguo za ccm!!! yule mzee alinyongonyea sana na it was soo sad kwa kweli, vijana jamani mnaichukia sana ccm ,punguzeni kidogo muwe logical and reasonable kidogo
 
hali ni mbaya sana hii nchi hakuna viongozi wala uongozi ... maana uongozi uliopo unatakiwa walau ukaongoze shina
 

Nimesoma kote nikawa natafuta ambapo huyu jamaa ata andika kama kawaida utumbo wake katika kikao chao cha kunywa supu ya utumbo kha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…