Hii Ndiyo serikali

Hahaha umelikomesha,,,,teh teh teh etii hii ndo serikali 4what
 

Na huku ndiko wananchi wanakoyapata maji ya kunywa.
 
Hivi kwani kiongozi wetu amewahi kuwa mwajiriwa wa hospitali kitengo cha MORTUARY!!!

Nafananisha haiba ya ukatili baina yao.
 
"hii ndiyo serikali" tuliyoichagua
 
Ndugai sijamuona hapo au muhimili wake sio serikali
wa katikakati kiini macho. sio wa Tanganyika huyo. ila amekosekana
Mwamunyange, masaju, na mnyaturu. hapo sasa inakuwa imekamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…