Hii ndiyo democrasia ya kweli. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndiyo democrasia ya kweli.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by SOKETI, Oct 31, 2010.

 1. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Watanzania waliowengi wameonnyesha hali ya kukomaa kisiasa na kuelewa elimu ya uraia. kwa kipindi chote cha kampeni watanzania wamwkua watulivu huku wakisikiliza sera za wagombea wa nafasi mbalimbali na kuweza kuchambua ni sera zipi zitakazowafaa kwa manufaa ya sasa ni kwa kizazi cha baadae. Hali ya Amani na Umoja imethidi kukithiri ktk maeneo yaliyo mengi nchini kutokana na uelewa wa wananchi kuhusiana na umuhimu wa kupiga kura.

  PONGEZI:
  . Kwa Watanzania walio/na watakaoshiriki katika kupiga kura au kuamsisha wanzao kushiriki katika zoezi hili litakakaloamua hatma ya mtanzania kwa kipindi kijacho ca miaka mitano.
  . walioachashughuli zao ksbb ya kupiga kura.
  . Wasomi wa vyuo vikuu waliolazimika kurudi vyuoni ili kutumia haki yao ya msingi.
   
Loading...