Hii ndiyo athari ya misaada

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,743
Reaction score
4,091
Madhara ya msaada wa Trump nchini Nigeria yaanzaa kuonekana mubashara baada ya wanaume wawili wa dini ya kikiristo na kabila la Igbo innocent Okechukwu kumuoa mwenza wake na kubariki ndoa hiyo mbele ya kasisi wa kanisa hilo.

Jambo Hilo limeonekana kulalamikiwa na wakristo wengi nchini humo wakidai ni mauaji makubwa ya dini ya kikiristo katika taifa la Nigeria.

Haya ndio matatizo ya kupokea msaada kutoka Kwa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…