TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,562
Wakati rais Magufuli akipambana kuyatumbua majipu ya ufisadi nchini bila kujali kama waliohusika pia ni wana CCM au la rais mstaafu Professor Jakaya Mrisho Kikwete ameapa kuyatumbua majipu ya wasaliti wa CCM wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi
Chanzo: Gazeti la Mwananchi