Hii ndio Tiba ya Ngiri/Hernia kupitia Dawa za kihindi

Ayurveda-Tanzania

New Member
Joined
Mar 10, 2026
Posts
4
Reaction score
2
Aina nyingi za ngiri ama hernia zinatokea eneo la tumbo kati ya kifua na nyonga. Kwa watu wengi ngiri siyo tatizo linalohatarisha maisha japo ni tatizo lisiloisha lenyewe bila upasuaji ama dawa.

Ngiri inasababishwa na kulegea kwa misuli na kupelekea nyama za kiungo kimoja kuota na kusukuma ukuta kuelekea eneo lingine. Kutokana na chanzo husika cha hernia inaweza kuchukua muda mrefu sana kusambaa na kuleta madhara.

Aina za ngiri​

Aina kuu za ngiri ni kama ifuatavyo
  1. Ngiri ya tumbo: ambayo inahusisha eneo la tumbo la chakula na viungo vya uzazi
  2. Ngiri maji: kujaa kwa maji kwenye mapumbu ama korodani
  3. Ngiri ya kifua: inatokea eneo la umio la chakula(oesophagus)
  4. Ngiri ya kitovu: hii inatokea pale utumbo unapovuka na kueleke kitovuni.

Tib asili ya ngiri​

Kwa utafiti wetu wa mda mrefu, tiba za kihindi zinaleta matokeo mazuri kutibu ngiri, busha na vimbe kwenye korodani. Jaribu hizi dawa uone matokeo yake. Unaweza kuagiza India moja kwa moja, ama ukapata kwetu kwa bei nafuu.

Matumizi: Meza 2x2 asbhi na jioni, walau tumia dozi mbili kupata matokeo mazuri zaidi.

Tuandikie kwa namba 0678626254 ikiwa unataka hii tiba ya ngiri kabla ya upasuaji​

 
Mkuu nimefurahi sana kuona sehemu ya hizi Tiba asili za Ayurveda. Naomba kuuliza je mnazo dawa za Ayurveda za kihindi zenye kutibu diabetes type 2 kwa kurekebisha chanzo husika cha diabtes na kuiponya kabisa?, tofauti na tiba za management ya diabetes zile za hospitalini zinazoManage level ya sukari tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…