MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Davidi Cameroon waziri mkuu wa Uingereza, Aliahidi kuitisha kura za maoni wakati wa kampeni kupitia chama chake cha Conservative kuhusu kubaki au kujiondoa kwa nchi yake katika umoja wa Ulaya, amelitekeza hilo na wananchi wameamua kujiondoa kwa kura 52% zaidi ya 48% wailopenda kubaki yeye akiwa miongoni.
Kiongozi wa watu amesema kua hana la kusema, wananchi wameamua na dunia imeashuhudia kwahiyo anaheshimu mauzi yao na amesema mwezi wa kumi taifa lijiandae kupokea uongozi mpya.
MASWALI KWAKO MTANZANIA.
Kama kuna kiongozi mmoja Tanzania aliahidi kuanzisha mchakato wa katiba mpya kwenye kampeni kupitia chama chake CCM, akauanzisha na kisha akauweka mpira kwapani yeye pamoja na chama chake, Je, Davidi Cameroon angeshindwa kupoka mchakato wa kura za maoni ionekane kua 52% ndio wameamua kubaki badala ya 48%? Je, viongozi wetu Afrika wanajifunzi nini hapa? Hua wanajifunza au ndio laana?
Kwa hali hii maendeleo tunayoyaimba yatapatikana lini Tanzania na Afrika kwa ujumla? Kuna kuna haja ya kuendelea na mchakato wa katiba wanaodai umeishia njiani? Mchakato huo una maridhiano ya kina nani?