Nipe ushauri mkuu wa namna ya kuliondoa tatizo. Au nifanyeje?Mkuu sorry mara ya kwanza nilisoma juujuu uliposema umebadili CVT nikajua ulifunga gearbox mpya. Sasa nilipokuja kusoma vizuri baadae nikaona kwamba kumbe nilikosea.
1. Suala la gari yako kung'ang'ania kwenye gear namba mbili inaweza kuwa inasababishwa na shida kwenye primary up solenoid, valve zake au return spring yake. Hapo mpaka nifungue valve body ya hiyo gearbox nikague hivyo vitu nilivyokutajia...
Nipe ushauri mkuu wa namna ya kuliondoa tatizo. Au nifanyeje?
Hii ni mfumo wa CVT transmission.Ndiyo mkuu ipo mfumo huu
Subaru hio ulikuwa huifanyii fujo ukaparaganyua gearbox na kusababisha gear nyengine kuwa neutral lakini 😀Nitakupigia pia sim lakini shidayangu ni; 1. Gari yangu ni Subaru auto gea inang,ang,ania kwenye namba 2 tu. Nimebadili CVT lakini bado. Pia taa ya check engine inawaka na mafundi wameniambia ni Oxygen sensor imekufa. Nifanye nini kurekebisha matatizo hayo? Nipo Moshi
Naomba nielezee kwa kutumia hiyo picha uliyoonyesha. Hiyo sport mode ni ipi?Hii ni mfumo wa CVT transmission....
Mfumo huu unahitaji matumizi mazuri hasa Kwenye upande wa kutumia sport shift,Kwa maneno ya mjini usipende Sana kutumia sport mode inafaa zaidi gari ikifikisha speed 60 km/h ndipo utumie
Nilijua utasema Crank sensor mana ikibuma hii si ndio engine inagoma kuwaka tena 😀 nnayokumbana kwenye project yangu japokuwa hamna hio sensor kazi yake inafanywa na distributor.
Subaru hio ulikuwa huifanyii fujo ukaparaganyua gearbox na kusababisha gear nyengine kuwa neutral lakini 😀
Anyways, huenda ikawa kitu kinaitwa shift fork ndani ya gearbox ndio inakukwamisha. Itabidi ishushwe gearbox itizamwe ndani kama ipo salama kila kitu. Au labda kuna shida na speed sensor, yote ni possibilities io.
O2 sensor kama imepimwa na wamekwambia ununue nyengine, basi nunua nyengine tu. Lakini hio check engine light imetazamwa vizuri na kutoa code moja tu? isijekuwa kuna na code nyengine ambazo zinaweza kukupa mwanga wa tatizo ulilokuwa nalo!
Ah hata sikusoma kwa utulivu, nlivoona gear hazibadiliki nikarukia tu fasta, Haikuniingia akilini kama inatumia gear za Scooters.Automatic hazinaga shift fork iwe ni convetional au CVT. Tena kama CVT speed inabadilika kwa kuapply pressure kwenye pulleys ambazo width yake ni variable.
Na ndio maana ukiendesha gari yenye CVT hutajua gia zinaingiaje. Shifting yake iko very smooth kuliko gearbox ya aina yoyote.
Hiyo knob ukipeleka Kwenye alama ya + gari inakuwa Kwenye sport huwa inakimbia mno na kuchanganya mapema ni kama ilivyo Kwenye Magari mengine tunasema "over drive".Naomba nielezee kwa kutumia hiyo picha uliyoonyesha. Hiyo sport mode ni ipi?
Kwangu ni mwendo wa kuchua madini tu, Shukrani sana mkuu
Ah hata sikusoma kwa utulivu, nlivoona gear hazibadiliki nikarukia tu fasta, Haikuniingia akilini kama inatumia gear za Scooters.
Basi naona itambidi aishushe itazamwe ndani iko hali gani, labda belt haiko sawa
Jamaa aseme yake ina KM ngapi hadi sasa, labda imegonga hapo tayari na inahitaji kuchekiwa. Uendeshaji nao unachangia, isijekuwa jamaa kutwa madrift na kuistress gearbox. Halafu si kuna transmission ECU?Ila belt ya CVT kama ya subaru hainaga shida sana. Labda kama gari imeshagonga 160,000km.
Jamaa aseme yake ina KM ngapi hadi sasa, labda imegonga hapo tayari na inahitaji kuchekiwa. Uendeshaji nao unachangia, isijekuwa jamaa kutwa madrift na kuistress gearbox. Halafu si kuna transmission ECU? hii pia inatakiwa iripoti hizi fitna. Ndio mana nkamuuliza hio check engine imekuja na code moja tu ya O2 kweli? Kama sikosei Niliwahi kuona BMW ikitoa error iayohusu transmission.
Kachekishe sensor ya temp inafanya kazi? na je communication ipo mpaka kwenye thermostat. Kawaida inablock maji kwenda kwenye engine mpaka yanapohitajika inaruhusu mzunguko.Kiongozi mi nina prado 95, tatizo haikubali thermostat, nilinunua kwa mtu nikakuta haina thermostat, hivyo nikaamua niwekee, imekataa inachemsha, nimebadilisha thermostat zaidi ya 3, nikiweka tu inachemsha nikitoa Safi napeta, tatizo laweza kuwa ni nini?
Kiongozi mi nina prado 95, tatizo haikubali thermostat, nilinunua kwa mtu nikakuta haina thermostat, hivyo nikaamua niwekee, imekataa inachemsha, nimebadilisha thermostat zaidi ya 3, nikiweka tu inachemsha nikitoa Safi napeta, tatizo laweza kuwa ni nini?
Kachekishe sensor ya temp inafanya kazi? na je communication ipo mpaka kwenye thermostat. Kawaida inablock maji kwenda kwenye engine mpaka yanapohitajika inaruhusu mzunguko.
Kuna matatizo ni vyema kufanya diagnosis na kuona live data. Ila hivi wapo mafundi kweli hapa ambao wanaweza kusoma live data na kuzielewa ama ndio kusoma code basi mchezo umeisha? Maana kuna matatizo mengine bila live data utajikuta umepigwa chenga.Check engine ikiwaka shida inaweza kuwa engine au Transmission. Hicho kitu kipo kweli.
Kiuhakika zaidi angefanya computer diagnosis kwanza...