Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,138
- 1,706
Hii ndivyo wazungu wanavyosafisha masikio yaliyoziba kwa uchafu. Kwa madaktari wa Afrika wanakupiga bomba lenye maji ya moto.
Wenzetu wame-advance sana.Sisi sukari inatushinda tutayaweza mambo hayo mengine.
Sukari ipi? Na wapi tuliposhindwa ufafanue mkuuSisi sukari inatushinda tutayaweza mambo hayo mengine.
Watu wa nakunywa chai kwa muwa ili wapate utamu au huoni hayo.Sukari ipi? Na wapi tuliposhindwa ufafanue mkuu
Haaaaaaa, Haaaaaaa. ..nimekusomaWatu wa nakunywa chai kwa muwa ili wapate utamu au huoni hayo.
Hii ndivyo wazungu wanavyosafisha masikio yaliyoziba kwa uchafu. Kwa madaktari wa Afrika wanakupiga bomba lenye maji ya moto.