Hii ndio safari ya matumaini

Huyo aliyebuni hii kauli mbiu,ndiye aliyemmaliza mamvi,Hata kampeni hazijaanza,kauli mbiu imeshaanza kushambuliwa,kampeni zikianza itakuwaje?


na ndio hao wanaomlazimisha mzee akomae mpaka mwisho wakati hali halisi anaiona...wenzake ndani ya chama wanamwita panya na kwamba tayari keshaingia ndani ya mtungi..wanasubiri kuinamisha mtungi na kumuua panya....salama ya peke ya huyo panya ni kutoboa mtungi na kusepa....kauli mbiu ya kipumbavu kabisa hii...et safari ya matumaini...kwan watanzania ni wagonjwa?
 
"Mke wa Kaisari ALITUHUMIWA KWA USALITI,,,,,,uchunguzi ukafanyika IKATHIBITIKA HAIKUWA KWELI........lakini KAISARI akamtaliki mkewe.....""" alisema, anamuacha kwa kuwa tu mke wa KAISARI hakupaswa tu KUTUHUMIWA..............Lowasa tumemtaliki awe msafi au mchafu...keshatuhumiwa sana
 

afu nyie vibaraka ndo mnamharibia lowasa kabisa, huuu upuuzi mnaoandika ndo unazidi kutuudhi. There is no way Lowasa akawa msafi.
 
Lowasa hana haiba yakuwa raisi. nyie mnawahadaa watanzania kwakuonyesha wingi wa wasaka tonge wanaojiita friends of Lowasa, hamna kitu, kama kweli anapendwa na watu msiweke vyakula.na soda na msitoe nauli zakuwaleta hapo muone kitachotokea atakikuta peke yake huyo fisadi
 
Lowassa hana mpinzan ktk nafac ya Urais ndani na nje ya ccm,

Mpk sasa watz kwa ujumla wao wameonyesha kumuunga mkono ktk safar ya matumain iliyoanza tar30/06/2015 umati wa watz wenye nia na imani kubwa kwa lowassa walijitokea kuionyesha tz na dunia kuwa wanaiman na Lowassa awe Rais wao,mwenye macho haambiwi tazama mliona wenyew Uwanja ulivyojaa watu wenye matumain na Edward
 
Mimi naona kwa usahihi kabisa ingeitwa "safari ya matajiri"
 
Lowassa hawezi kuwa raisi acheni ujinga pumbavu nyie kuleni hela zake fisadi huyo ila uraisi atausikia bombani yaani rafiki wa rostam azz karamag chenge tibaijuka tumchague... Watanzania wana iq ndogo lakini hawawezi chagua fisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…