unatumia kodi ya wananchi kwenda kula starehe mombasa,

Kuna waroho zaidi ya walioifukarisha hii nchi?
Hebu tazama hawa ni watanzania wenzako,huna hata haya,eti UKAWA wana uroho, watawashinda hao waliowafanya hawa binadamu wenzako wawe hivi?
Hebu tazama hawa wanafunzi hapa chini
Na mlaaniwe nyote mlioifanya hivi hii nchi!!!!!!!!!!
Mara baada ya vyama vikubwa vya upinzani nchini nikimaanisha NCCR,CUF na CHADEMA kuonyesha nia kuungana na kuwa kitu kimoja baada ya mchakato wa katiba mpya kuanza imeonekana ni KITANZI kwa chama cha mafisadi CCM.
Kinachoonesha kwamba hii ndio pumzi ya ccm kuwa madarakani baada ya hivi vyama kuungana, LEO kwenye vichwa vya magazeti ya jamboleo,habari leo na uhuru wamekuja na CD ya kitoto kweli eti wanasema gari la MBOWE lakamatwa kenya likihusishwa na ugaidi. HIVI kweli haya magazeti wahalili wake sio mateja kweli?
Hiki kinachofanywa na haya magazeti ya chama cha mateja,mafisadi na wezi wa mali ya umma ni harakati za kutaka hivi vyama visiungane na visambaratike. kwa kuanzisha vihoja vya kipumbavu eti gari la mbowe linahusika na ugaidi kenya.
lakini ninajua hizi hila za kitoto haziwezi kukesha kama ilivyo ngoma ya watoto
UKAWA kazeni buti kwa sababu hii ni saa ya ukombozi

ccm kuukandamiza upinzani ni sawa na kujichimbia kaburi. ccm wajipime matendo yao ya kutumia polisi na jeshi kutisha wapinzani na wananchi kwaujumla wajue siku sio nyingi hao polisi na jeshi watakuwa chini ya utawala mpya wakati huo ccm imeng'olewa madarakani ccm kimekuwa cha upinzani. wasizani kwamba wataondoka madarakani na polisi na wanajeshi. Hapa ndipo ccm italia kwa chozi la damu na kusaga meno.
Mara baada ya vyama vikubwa vya upinzani nchini nikimaanisha NCCR,CUF na CHADEMA kuonyesha nia kuungana na kuwa kitu kimoja baada ya mchakato wa katiba mpya kuanza imeonekana ni KITANZI kwa chama cha mafisadi CCM.
Kinachoonesha kwamba hii ndio pumzi ya ccm kuwa madarakani baada ya hivi vyama kuungana, LEO kwenye vichwa vya magazeti ya jamboleo,habari leo na uhuru wamekuja na CD ya kitoto kweli eti wanasema gari la MBOWE lakamatwa kenya likihusishwa na ugaidi. HIVI kweli haya magazeti wahalili wake sio mateja kweli?
Hiki kinachofanywa na haya magazeti ya chama cha mateja,mafisadi na wezi wa mali ya umma ni harakati za kutaka hivi vyama visiungane na visambaratike. kwa kuanzisha vihoja vya kipumbavu eti gari la mbowe linahusika na ugaidi kenya.
lakini ninajua hizi hila za kitoto haziwezi kukesha kama ilivyo ngoma ya watoto
UKAWA kazeni buti kwa sababu hii ni saa ya ukombozi
MJOMBA PICHA HIZI ZIMENITOA MACHOZI ! hIVI CCM IMETUFANYIA UNYAMA HUU KWA KOSA GANI HASA ?
Halafu kuna watu wanakazana kujisifu ya kuwa ccm imefanya mengi. Kweli miaka 52 karibu na nusu ya Uhuru wa Tanganyika bado kuna wananchi wanaishi maisha kama haya, wakati viongozi wanatanua kwenye mahekalu, wanazunguka nchi nzima na ma VX ya mamilioni, kila kukicha wako nje ya nchi, wanazidi kuwanyonya wananchi hao hao waliowapa wao ridhaa ya uongozi na kuwahonga kwa ahadi hewa? Ole wao wote wanaoshirikiana na mafisadi kuendelea kuwadhalilisha wananchi, ukombozi uko karibu!
Ee Mungu Ulie Hai sikia kilio cha watu wako!
Hata hivyo hawatafanikiwa kutokana na uroho wa pesa walio nao hasa hawa ndugu zangu wa meru.
Kuna waroho zaidi ya walioifukarisha hii nchi?
Hebu tazama hawa ni watanzania wenzako,huna hata haya,eti UKAWA wana uroho, watawashinda hao waliowafanya hawa binadamu wenzako wawe hivi?
Hebu tazama hawa wanafunzi hapa chini
Na mlaaniwe nyote mlioifanya hivi hii nchi!!!!!!!!!!
Mods huu ----- unajaza jukwaa pls futeni
Je huu umasikini na ufkara uliopindukia umesababishwa na SERIKALI 3 ????Jibu ni HAPANA!
Umaskini na ufukura wote huu umesababishwa na UTAWALA WA HUU HUU WA SERIKALI 2 ZA CCM. Sasa CCM wanaposema Serikali 3 ni kuongeza gharama na hivo watashindwa kupeleka huduma muhimu kama barabara, shule,zahanati, maji na umeme wanataka kumdanganya nani asiyeijua Tanzania?? CCM wawe wakweli waache unafiki. Tunajua dawa yao iko jikoni inatokota al-maarfu UKAWA. Hii itakuwa dozi kali na ya mwisho ambayo CCM na Serikali yao walikuwa hawajawahi kuipata.
Tusubiri.