The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
Endelea kuota mchanaKwa hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini,hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwa kutegemea njia zilezile zilizozoeleka, yaani kufanya mikutano,maandamano na kutumia chaguzi zinazoitishwa na nec. Kwa kifupi hizi njia zimeshafeli na zitaendelea kufeli zaidi. Kinachohitajika kwa sasa wapinzani woote wahamie ccm alafu waanze kuihujumu ccm wakiwa humohumo ndani.
Wazo zuri Sana binafsi nipo CCM na nina nafasi nyeti tu,ushenz niliowafanyia hawa watu hadi nawaonea huruma.Kwa hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini,hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwa kutegemea njia zilezile zilizozoeleka, yaani kufanya mikutano,maandamano na kutumia chaguzi zinazoitishwa na nec. Kwa kifupi hizi njia zimeshafeli na zitaendelea kufeli zaidi. Kinachohitajika kwa sasa wapinzani woote wahamie ccm alafu waanze kuihujumu ccm wakiwa humohumo ndani.
Sana tu hujaona makonda anafungua domo kila siku nakuendesha kikundi cha watekkajiKwani bado kuna wapinzani mkuu?!!
We waonaje??Kwani bado kuna wapinzani mkuu?!!
Imekuuma ee
Kwa hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini,hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwa kutegemea njia zilezile zilizozoeleka, yaani kufanya mikutano,maandamano na kutumia chaguzi zinazoitishwa na NEC.
Kwa kifupi hizi njia zimeshafeli na zitaendelea kufeli zaidi. Kinachohitajika kwa sasa wapinzani woote wahamie ccm alafu waanze kuihujumu ccm wakiwa humohumo ndani.
Yaani hilo jamaa ndio chanzoCcm hawawezi pambana na wakati ni ukuta ,anguko la ccm litatokana na bashite. Gunia la misumari halibebeki
Mbona tumeshawatanguliza wengi tu, subiri wakati tu utaona.Kwa hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini,hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwa kutegemea njia zilezile zilizozoeleka, yaani kufanya mikutano,maandamano na kutumia chaguzi zinazoitishwa na NEC.
Kwa kifupi hizi njia zimeshafeli na zitaendelea kufeli zaidi. Kinachohitajika kwa sasa wapinzani woote wahamie ccm alafu waanze kuihujumu ccm wakiwa humohumo ndani.
Lisu ni mwanaharakati!
The philosopherKwa hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini,hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwa kutegemea njia zilezile zilizozoeleka, yaani kufanya mikutano,maandamano na kutumia chaguzi zinazoitishwa na NEC.

Bonge la comment mkuu, Mimi nimeshamaliza kazi yangu ya kusambaratisha CCM, nipo nakunywa Coca Cola tu nikisubiri bomu liwalipukie, unaambiwa hata Mr Slow Slow naye ni mpinzani wa Damu kabisa.Upinzani sio viongozi Uko mioyoni mwa watu,ccm imezalisha wapinzani wengi sana sababu ya matendo yao,maana wanajali sana chama kuliko nchi.