Hii ndio njia rahisi sana na ya uhakika ya kuiangusha CCM madarakani

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
700
1,000
Kwa hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini,hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwa kutegemea njia zilezile zilizozoeleka, yaani kufanya mikutano,maandamano na kutumia chaguzi zinazoitishwa na NEC.

Kwa kifupi hizi njia zimeshafeli na zitaendelea kufeli zaidi. Kinachohitajika kwa sasa wapinzani woote wahamie ccm alafu waanze kuihujumu ccm wakiwa humohumo ndani.
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,024
2,000
Kwa hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini,hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwa kutegemea njia zilezile zilizozoeleka, yaani kufanya mikutano,maandamano na kutumia chaguzi zinazoitishwa na nec. Kwa kifupi hizi njia zimeshafeli na zitaendelea kufeli zaidi. Kinachohitajika kwa sasa wapinzani woote wahamie ccm alafu waanze kuihujumu ccm wakiwa humohumo ndani.
Endelea kuota mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,233

Wazo zuri Sana binafsi nipo CCM na nina nafasi nyeti tu,ushenz niliowafanyia hawa watu hadi nawaonea huruma.
Wana ushamba wa kutumia tiss kurekodi maongezi kwenye simu, Mimi natumia simu ya Marehemu kuwahujumu, na ile yangu original ipo tu wakirekodi wanaambulia hewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,026
2,000
Kwa hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini,hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwa kutegemea njia zilezile zilizozoeleka, yaani kufanya mikutano,maandamano na kutumia chaguzi zinazoitishwa na NEC.

Kwa kifupi hizi njia zimeshafeli na zitaendelea kufeli zaidi. Kinachohitajika kwa sasa wapinzani woote wahamie ccm alafu waanze kuihujumu ccm wakiwa humohumo ndani.
Upinzani sio viongozi Uko mioyoni mwa watu,ccm imezalisha wapinzani wengi sana sababu ya matendo yao,maana wanajali sana chama kuliko nchi.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
11,279

Mbona tumeshawatanguliza wengi tu, subiri wakati tu utaona.
 
ELI-91

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
3,598
2,000
nimekuja hapa nikijua uta propose coup d'etat, nakataka niseme hapana usifanye hivyo ;)
 
The Giantist

Senior Member
Dec 12, 2018
141
225
Kwa hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini,hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwa kutegemea njia zilezile zilizozoeleka, yaani kufanya mikutano,maandamano na kutumia chaguzi zinazoitishwa na NEC.

Kwa kifupi hizi njia zimeshafeli na zitaendelea kufeli zaidi. Kinachohitajika kwa sasa wapinzani woote wahamie ccm alafu waanze kuihujumu ccm wakiwa humohumo ndani.
The philosopher

Umeweza kutoa namna nzuri kwa kadiri ya fikra zako kwa hawa wanaojiita wapinzani. Na imekuwa hivyo kutegemeana na wapinzania hao wa zama hizi. Lakini nataka nikuambie jambo la ukweli kabisa, CCM ni chama bomba sana na ubomba wake hutaweza kuuona ikiwa upo nje ya chama; waungwana wanasema " raha ya ngoma, ingia kati uicheze.." Ukweli ni kuwa ikiwa wote wataamua kufanya hivyo, basi hakuna ye yote atakaye kuwa tayari kutoka tena ndani ya CCM. Kwani chama kina Demokrasi halisi, usawa na heshima kwa wanachama na viongozi wote, kujali wananchi wote, imani katika ujamaa na kujitegemea. Hizo tu ndio sehemu chache ya uzuri wa CCM kwa ndani. Hachana na makelele ya watafutaji kuhusu chama pendwa nchini hadi Afrika kwa jumla.

Karibuni chamani.
 
The Giantist

Senior Member
Dec 12, 2018
141
225
Kwa hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini,hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuiondoa ccm madarakani kwa kutegemea njia zilezile zilizozoeleka, yaani kufanya mikutano,maandamano na kutumia chaguzi zinazoitishwa na NEC.

Kwa kifupi hizi njia zimeshafeli na zitaendelea kufeli zaidi. Kinachohitajika kwa sasa wapinzani woote wahamie ccm alafu waanze kuihujumu ccm wakiwa humohumo ndani.
The philosopher

Umeweza kutoa namna nzuri kwa kadiri ya fikra zako kwa hawa wanaojiita wapinzani. Na imekuwa hivyo kutegemeana na wapinzania hao wa zama hizi. Lakini nataka nikuambie jambo la ukweli kabisa, CCM ni chama bomba sana na ubomba wake hutaweza kuuona ikiwa upo nje ya chama; waungwana wanasema " raha ya ngoma, ingia kati uicheze.." Ukweli ni kuwa ikiwa wote wataamua kufanya hivyo, basi hakuna ye yote atakaye kuwa tayari kutoka tena ndani ya CCM. Kwani chama kina Demokrasi halisi, usawa na heshima kwa wanachama na viongozi wote, kujali wananchi wote, imani katika ujamaa na kujitegemea. Hizo tu ndio sehemu chache ya uzuri wa CCM kwa ndani. Hachana na makelele ya watafutaji kuhusu chama pendwa nchini hadi Afrika kwa jumla.

Karibuni chamani.
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,233
2,000
Upinzani sio viongozi Uko mioyoni mwa watu,ccm imezalisha wapinzani wengi sana sababu ya matendo yao,maana wanajali sana chama kuliko nchi.
Bonge la comment mkuu, Mimi nimeshamaliza kazi yangu ya kusambaratisha CCM, nipo nakunywa Coca Cola tu nikisubiri bomu liwalipukie, unaambiwa hata Mr Slow Slow naye ni mpinzani wa Damu kabisa.
Ama kweli jiwe ni jiwe tu halina ufahamu wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom