Hii ndio ndege ya Rais Wetu

Hii ndio ndege ya Rais Wetu

Acha gubu umeandika habari bila picha, gharama ya ndege badala utuwekee kwa Tsh wewe umetuandikia in US Dollar. Au Ndio na wewe ume kopi na kupest.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya nyerere je!? AF jifunze kuweka picha huwezi kuturisha wali mkavu.
Inauma sana sisi watanzania wanyonge tusio hata na baiskeli Kutuletea story kwa mtu mwingine kutembelea ndege
 
Nikiri sijasoma huu uzi ila nime comment sijui ni hii wine nimekunywa hapa 😂😁😁😁
 
Back
Top Bottom