Hii ndio mikwara ya wanafunzi wetu

Kwani hiyo mikanda haivaliwi na wasio wa UDSM? ikibebeshwa ID nyingine au kuvaliwa na wanafunzi wasiosoma UDSM inagoma?
 
Hiyo kawaidaa sanaa kipind cha UE unawezaa soma umekaa ,umesimamaa au kuzungukazungukaa ili kubadil poz
 
Hiv bado kuna watu wa naenda shule mpka Leo!?ili iweje sasa!!mi mwanangu ntamtafutia kazi zingine za kufanya sio huu ujinga unaoitwa elimu!shule kibongo bongo zinaongeza ujinga..!!
 
Hiv bado kuna watu wa naenda shule mpka Leo!?ili iweje sasa!!mi mwanangu ntamtafutia kazi zingine za kufanya sio huu ujinga unaoitwa elimu!shule kibongo bongo zinaongeza ujinga..!!
To some extent you are right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…