Piga ganja stiki mbili dry,viroba packit nne vya mill 200 weka na nusu kilo ya milungi hapo lazima siku iende bila wewe kujua tena ngoja niende kwa sadali maana naona hata hii stimu ya ugolo wa masai inakata
Mustakabali na misingi imara thabit isiyotingisika ya taifa lolote ujengwa kwa kilevi ya aina yeyote iwe bangi viroba mirungi na pombe kali. Ila tu isiwe madawa ya kulevya kama heroin cocaine madras hashish etc. Tuunganishe nguvu zetu kwa kujumuika pamoja katika uvutaji bangi uliotukuka na unywaji was viroba/pombe kali ili taifa letu lisonge mbele tuingize mapoto ya kutosha uchumi wetu uzid kukua na kuimarika ili tupate mafao kede kede. Marijuana is special gift for human kind!
pamoja sana chalii yanguMmea ndo kila kitu,hapa nipo kwa ras namalizia kijiti changu nikipata na konyag ndogo jumapil imepita salama.....
pamoja sana chalii yangu