Inaonekana huyo jamaa alikuwa amekamata shingo utadhani chui amekamata swala.
ukiona hivyo imekukumbusha mbali!imekuwa sawa na kutupa jiwe gizani!hahahahaha aaaahhhhh sina usemi
wasir huyu huyu!!wengine wanasema wa gombe?Nadhani hiyo alama hutegea na rangi ya mhusika.
Kama mhusika ana rangi kama mheshimiwa Wasira, sidhani kama itaonekana.
sie kina cheusi mangala huon kitu
Mbona wote walionyeshwa kwenye picha ni wazungu ndo kusema watu weusi hawapiti lovebite