Lugha gongana,any wayUkiingia kwenye account sio kwambaaa ndo una apply upya bali unahakiki data zako kama ni za kweli ama zilikosewa wakat wa kujaza mara ya kwanza cha muhim we angalia zile form za mikopo ulizotoa kopi kablaya kutuma bodi ya mikopo kama zina taarifa kamili ama ulidanganya wewe mwenyewe nadhan majibu unayo kama ulijaza ukweli wait second batch usiwe na wasiwasimtapata mwombeee mungu
Huyu sijui ameelewa vipi?? Watu wengine bhana..Ukiingia kwenye account sio kwambaaa ndo una apply upya bali unahakiki data zako kama ni za kweli ama zilikosewa wakat wa kujaza mara ya kwanza cha muhim we angalia zile form za mikopo ulizotoa kopi kablaya kutuma bodi ya mikopo kama zina taarifa kamili ama ulidanganya wewe mwenyewe nadhan majibu unayo kama ulijaza ukweli wait second batch usiwe na wasiwasimtapata mwombeee mungu
Hiyo ni noma
Mkuu weka I baada ya F halafu soma inasemaje??πππππ
Kukosa mkopo ndio imekufanya uwe na akili za kishogaKwa nini uongeze herufi ambazo hazipo? Acha fikra potovu...Yani wewe jinsia yako ni " MALE " halafu tu aje aongeze FE mwanzo na alazimishe kuwa wewe ni FEMALE ? ..be positive always
Form Four Index Number * iandikwe kwa huu mfumo Namba ya shule.Namba ya mtahiniwa.Mwaka