Hii ndio Dar-es-salaam

<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
 
Jana nilienda TMJ kumuangalia mgonjwa,,,,hali hii nimeishuhudia
 
Hili ni eneo sugu kwa mafuriko ya muda mfupi nyakati za mvua pale Posta Mpya...

Si upande ule wa Haidery Plaza au huu wa Barabara ya Maktaba yaani kote hugeuka dimbwi kubwa la maji yapitayo kama mto...

<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
 
Viongozi wa jiji wako ofisini wanalea vitambi tu!!
 
Lini atajitokeza kiongozi atusaidie
 
Na wananchi wa jiji wanakuwa bize ktapisha vyoo


Hawa viongozi wa hizi munispaa wangekuwa mahili wangetengeneza fedha nyingi kwa kuwakamata hawa wanaotapisha vyoo wakati wa mvua!! Wakiwatumia wananchi kuwapa taarifa juu ya majirani zao wanaohatarisha afya zao, wangeweza kupata fedha nyingi za faini!!! Lakini kwa vile kazi yao ni kulea vitambi basi wananchi ndio waathirika wa hii tabia ovu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…