hii ndio congo street

imekuwa market street sasa, hapo magari sidhani kama yatapita, au labda kuna masaa yake rasmi
 
Hawa wote walipitia kwenye Papuchi. Mmmmmhhhh

Umefikiria mbali sana, pia huwa ninawaza hivyo niwapo kwenye kusanyiko la watu eg mkutanoni, kanisani, sokoni etc, nawaza hivi hawa wote walizaliwa, wakatambaa, walikua wanajichafua hovyo na mama zao waka wasafisha. Kiukweli tumetoka mbali sana!
 
tukumbuke pia waliingiaje humo!
Kuingia sio hoja sana, maana huwa ni sawa na kuingia chooni na kutoa haja ndogo then unaingia mitini tena wakati huo pauchi huwa inafurahia, kazi huwa ni kutoa hicho kilichoingizwa miezi tisa iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…