Cheche Mtungi JF-Expert Member Joined Nov 14, 2010 Posts 2,619 Reaction score 777 May 28, 2013 #1 Mpaka kieleweke.
Wile GAMBA JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 1,809 Reaction score 595 May 28, 2013 #2 Na huyu pembeni ni mjeshi wa chadema? Chama, jinsi cku zinavyokwenda wanazidi kukubalika, Bravo!
NDUKI JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 3,439 Reaction score 2,452 May 28, 2013 #3 'kuna jamaa pembeni hapa anasema eti hao waliojaa nyuma huko wengi wao eti wanakuja kushangaa hedikopta sjui edikopta sjui eti kweli mkuu...'
'kuna jamaa pembeni hapa anasema eti hao waliojaa nyuma huko wengi wao eti wanakuja kushangaa hedikopta sjui edikopta sjui eti kweli mkuu...'
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,691 May 28, 2013 #4 Huyu jamaa aliyevaa kama muasi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ndio nani?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,972 Reaction score 77,266 May 28, 2013 #5 ZeMarcopolo said: Huyu jamaa aliyevaa kama muasi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ndio nani? Click to expand... Teh teh kwi kwi ! Unauliza mjini kweli ama masihara? Ngoja wataalam wanakuja kukupa majibu.
ZeMarcopolo said: Huyu jamaa aliyevaa kama muasi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ndio nani? Click to expand... Teh teh kwi kwi ! Unauliza mjini kweli ama masihara? Ngoja wataalam wanakuja kukupa majibu.