Hii ndio CCM


Kuchagua chama kimoja miaka yote then utegemee matokeo tofauti ni UPUMBAVU tunaposema CCM tumewachoka cz mmeongoza hii NCHI kwa muda mrefu tunawashukuru wacha tufanye kitu kingine nao wakizingua tunaweka Pembeni lkn kuwaambia watu waendelee kuchagua CCM hadi sasa nikuwadharau watu kwamba hawana AKILI yakujua jema na Baya
 
nchi isiyokusanya kodi ni nchi corrupt.... dunia yote watu wanalipa kodi,,, bila kodi serekari itajiendeshaje?

Kama ilivyo corrupt Tanzania chini ya ccm. Wafanyabiashara wakubwa ambao wengi wao pia ni viongozi wa umma hawalipi kodi, faini za makosa barabarani zinakusanywa na askari ambaye ujuzi wake ni kubeba silaha na hatoi risiti, badala ya kukusanya kodi misamaha ya kodi inashika chati na upuuzi mwiiingi. Ila kodi za wanachi wa mataifa mengine ccm na serikali yenu mnazishobokea, eti ''Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa watakupa" utafikiri kwa wenzetu hizo hela zinanyesha kama mvua.
Leo nakwenda kulala Jangwani kwenye matanga ya CCM. Ndiyo, wamekufa mitume ishindikane ccm!!!!!
 

Chapa kazi, chapakazi acha kulalamika kuwa mbunifu na utafaidika na mfumo uliopo,kwa bahati mbaya walio wengi tumelelewa na mfumo wa ujamaa kwa hiyo tupo kiutegemezi utegemezi.......................
 
Asante sana kwa ushauri wako mzuuuri sana. Ukombozi kwa watu unaotaka tuwape kura haupo kabisaaa. Wewe wapigie tu.
 
Hata baba wa taifa alisema serikali dhaifu hawezi kukufanya kodi.Lipa kodi kwa maendeleo ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…