Acheni kutudhalilisha , yaani mmeshindwa kuweka bango la kueleweka kweli ? Hebu tuwekeeni bei mliyotumia kutengenezea bango bovu kama hili ,acheni wizi wa kizamani .
Mimi naona kama wameandika "CHOO CHA TRENI KAMATA". Sijui ni simu yangu ya mchina ndo imeshindwa kuniletea picha nzuri au ndo mwonekano wenyewe wa bango?