Hii ndio bongo muvi bwana....

jambazi aliogopa kuchafua nyumba ya watu na viatu vyake vilivyokuwa vimejaa tope
 
Jambazi mstarabu sana' kavua viatu ili asichafue nyumba Ya watu
 
Sina muda mchafu wa kuangalia hii takataka nitakasirika tu
 
safi sana, dunia inahitaji majambazi wastarabu kama huyu jamaa
 
Akimaliza kufanya uhalifu ataomba msamaha na kusali kidogo ndiyo aondoke,lol!
 
Undo wanaanza jamani tuwapeni muda turn name mambo yatakaa vzr cku moja maana hata Hollywood hawakuanza hivi walivyo leo
 
Nimelazimika kucheka kwakweli....
 
Undo wanaanza jamani tuwapeni muda turn name mambo yatakaa vzr cku moja maana hata Hollywood hawakuanza hivi walivyo leo

lakini majambazi wa hollywood hawakua wanavua viatu..
 
Undo wanaanza jamani tuwapeni muda turn name mambo yatakaa vzr cku moja maana hata Hollywood hawakuanza hivi walivyo leo

Hata ukiangalia muvie za akina chale champling za black and white muvie za zamani za kihind toka amita anaekti mtoto mpaka sasa babu still bongo wavivu wanaopenda kupata bila kutoa ndio maana rais akiulza utakulaje bila kuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…