Hii ndio bidhaa bora duniani kuwahi kutokea

Pamoja na jina zuri la Phillips na ubora wake lakini mzee wako ni mtunzaji mzuri.

Kuna watu wa aina hiyo kwenye maisha. Wapo smart na wana principles zao, mara nyingi wanaitwa wakuda.

Principles zao: akitumia kitu anarudisha pale pale anapowekaga, na kama hatakikuta alipokiweka basi tabiri ugomvi.

Mara nyingi hawa watu ni wasafi na wachapakazi.
Hahahahha...
Mara nyingi wanaitwa wakuda..
 
Mkuu umeongea ukweli asilimia efu10..
Wanayo aina nyingine ambayo hapa bongo ilikuwa yeboyebo kutokana na ubora wake hadi wachina wakatengeneza feki zake..

Hii Hapa
976224905326a38d481fe2c266eaad74.jpg
 
Bidhaa bora ni k pekeyake
maana imetuleta down to earth na imeanza kutumika kitambo,
nimesema bidhaa kwa kuwa baadhi ya maeneo inauzwa
 
Ni kweli kabisaa huyu mzee alikuwa marine engineer ni mkuda hatari yaani mpaka kero kila kitu lazima kirudi mahala pake
Tumelelewa kwa sheria kali ila ukubwani nimeona faida ya ukuda wake
namvumi king

Hivyo ndivyo inavyotakiwa. Sio kutafuta remote ya TV kila siku, sio kutafuta brush ya viatu kila siku.

Lazima familia nzima iwe na rules zake, na lazima hizi rules ziwefollowed.

Lazima muda wa chakula usiku ufahamike na lazima watoto waende kulala wakati huo huo kila siku.

Wazee wetu bwana.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
watoto wa kiume mlikuwa wangapi katika nyumba hiyo?
Wanaume 4 mwanamke 1
Hapo kurudi nyumbani ni kumi na mbili kamili jioni
Ukitumwa town unapewa majina.ya mitaa tu sasa ole wako upotee
Dah sijui kama utalala
Nakumbuka braza alisahau funguo za home kwenye basi la uda dah akaambiwa achague mawili akakae kituoni alingojee basi au akamnunulie kitasa chake cha muingereza kwa tsh 15000 ilikuwa 1995
 
Kuna mahali nilitumia pasi ya hivo..... Aaaaah ni fundi chuwa wa pale karibu na hospital ya farther babu
 
Pamoja na jina zuri la Phillips na ubora wake lakini mzee wako ni mtunzaji mzuri.

Kuna watu wa aina hiyo kwenye maisha. Wapo smart na wana principles zao, mara nyingi wanaitwa wakuda.

Principles zao: akitumia kitu anarudisha pale pale anapowekaga, na kama hatakikuta alipokiweka basi tabiri ugomvi.

Mara nyingi hawa watu ni wasafi na wachapakazi.
[emoji106] [emoji106] watu wa namna hiyo nimeishi nao.
 
namvumi king

Hivyo ndivyo inavyotakiwa. Sio kutafuta remote ya TV kila siku, sio kutafuta brush ya viatu kila siku.

Lazima familia nzima iwe na rules zake, na lazima hizi rules ziwefollowed.

Lazima muda wa chakula usiku ufahamike na lazima watoto waende kulala wakati huo huo kila siku.

Wazee wetu bwana.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Naukubali sana utaratibu huo kila kitu kwa mpangilio.
 
Pamoja na jina zuri la Phillips na ubora wake lakini mzee wako ni mtunzaji mzuri.

Kuna watu wa aina hiyo kwenye maisha. Wapo smart na wana principles zao, mara nyingi wanaitwa wakuda.

Principles zao: akitumia kitu anarudisha pale pale anapowekaga, na kama hatakikuta alipokiweka basi tabiri ugomvi.

Mara nyingi hawa watu ni wasafi na wachapakazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] very true...wazee wengi wakuda ni watunzaji wazuri wa vitu,na wanapiga sana viboko pale mtoto anapoharibu kitu!
 
Back
Top Bottom