Ahmada umelewa
Member
- Apr 23, 2012
- 45
- 4
Kwa kweli ndugu zangu mie nimechoka kusikia jinsi watu wanavyoila hii nchi, sielewi wana maana gani, HIVI CCM hii nchi mliachiwa na Bibi yenu? mbona hamna hata aibu, ufujaji mwingine mimi nikisikia mpaka masikio yanawasha, Maana yake ni nini sasa?