Si hivyo tu. Huyu ni fisadi kwa asili. Ruzuku kiduchu inayotolewa TLP huyu fisadi kageuza pesa yake na mkewe. Kuna nyumba chama kilinunua kuwa makazi ya mwenyekiti, yeye kajimilikisha. Sasa hivi kila anayeonekana threat kwa survival yake kama mwenyekiti, anafukuzwa uanachama. Sichoki kujiuliza kama angepata urais 1995 inchi ingekuwaje.