Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,882
- 15,186
Killer wave au monster wave ni wimbi kubwa Sana ambalo urefu wake unakadiriwa kuwa mita 12 mpaka 20.Thank You so much for your elaboration.
More input please on the killer wave.
~yachtsHopefully hakuna cruise ships wala yatchs zenye abiria baharini.
Pongezi ziende kwa serikali awamu ya sita na samia suluhu kwa ujumla kwa kufanikisha kudhoofisha ukali wa kimbunga hicho cha jobo ndugai.
Thanks for the correction~yachts
Haya ilitakiwa muyaseme kablaWakumbushe kuna miti na milima chini ya maji wasije wakakushangaa mkuu! 🤣 🤣 🤣
[emoji23][emoji23][emoji23] hatar sanaNakumbuka hata nzige baada ya kuzurura kila kona ya ukanda wa Afrika mashariki walivyotaka kuingia bongo tu wakakutana na kamati ya fitina wakatoka nduki hawana hamu na kambi kama covid19 ilivyotamba duniani kufika hapa tukatambiana
Hope hili litakua somo tosha kwa majanga mengine yajifunze kwamba we are the true Israelites
Jobo mwingine anaitwa job shida sana huyu jobSemaaa kimeumanaaaView attachment 1762223