balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 14,519
- 12,661
Eti timu ambayo kwanza imetika kufungwa kwenye ligi,mwaka Jana haijachukua kombe lolote la mashindano eti ndo inaicheka timu iliyobeba makombe yote ya ndani.Hiyo timu inajiona ndo imefanikiwa mechi za kimataifa ,ukiiuliza iliwahi kuchukua kombe gani huko nje,hakuna hata moja.Huu ni umbumbumbu aliowahi kusema mmoja wa viongozi wa hiyo timu.Povu ruksa.