ha ha haaa! nice one..wakina Vera mnasemaje hapo kwa watu kama crispin? my wife wake afanye kama hivi? alafi abandike matangazo bar zote za Tegeta. hahahahaaa!!
ukute mama wa watu , ameachiwa familia analea peke yake halafu jamaa anatumbua pesa na watu wengine, hamana mapenzi tena hapo ndoa yao ina umri mrefu sana.
Wanajamii hamjambo, nimewamiss sana.......
Lakini kitendo hichi ni kama revenge hivi!!!sidhani kama wanaendelea na mahusiano tena, umeshamdharirisha mwanaume kiasi hicho kamwe hatorudi.