Hii nayo kali!

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757


hii nimeikuta Tradecarview!hivi hawa jamaa wapo makini kweli hii Model ya mwaka gani?
 
Kitu VolksWasuzuki kimetulia, ipo wapi naihitaji mkuu maana kitaa nitakuwa peke yangu nitatesaje..
 
Ahhhhhhhh kudadeki bonge la mgari mi nimeupendaje yaani hadi raha.
 
Anahaaaaaa kumbe hivyo inawezekana kweli sijaelewa hebu nitonye my ndugu anamaanisha nini?
hiyo gari ilitakiwa kuwa na this logo and not hiyo ya Volks wagon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…