Hii nayo kali siasa sio mchezo

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Siasa ni ngumu jamani hadi mwanasiasa anatumia lugha tatu kwa wakati mmoja. Sasa sikia hii hapa. "KENYA IS MARWA BY THUON NA OYIEYO WILL PASS KUPITIA YIENDAMBEWA.
 
Aisee sijaambulia kitu hapa!
 
Hahahaaaaaaaaaaa hii ni kauli ni ya Oginga Odinga kama sikosei. Hapa alitumia kiswahili, kiingereza na kijaluo. Enzi hizo wasomi walitafuta mpaka kwenye kamusi lakini hawakupata kuelewa maana kamili.
 
Mhh nimegoogle inasema utafutaji wako haupo kabisa
 
mnanipa kazi ya kuisaidia google kila mkipost kwan wanauliza maana yake sasa na mimi sijui, u know am google helper ?
 
hata waheshimiwa wakikutana kule mjengoni ndo luga yao.
 
Heheheeeee hii ndio tunaita lugha gongana maana kwenye kamusi hakuna kwa goggle sasa ndo haitambuliki. Sasa huyu jamaa anamaanisha nini?
 
Siasa ni ngumu jamani hadi mwanasiasa anatumia lugha tatu kwa wakati mmoja. Sasa sikia hii hapa. "KENYA IS MARWA BY THUON NA OYIEYO WILL PASS KUPITIA YIENDAMBEWA.

Ungekuwa mtihani busara za Mulugo zingehitajika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…