Ungeandika kwa kiswahili ungeeleweka zaidi.
Lugha ni kama pakacha la kubebea mawazo,fikra,maarifa toka kwa mzungumzaji kwenda kwa msikilizaji. Hivyo,pakacha likivuja ujumbe haufiki.
wewe ni mchina wa kariakoo nini, mbona unachanganya lugha sana, haya ndo yale ya mamis wetu anaongea na chombo cha habari tena cha taifa anaanza viingereza viingi, usiwe kama siti mtemvu bwana,