Mtanzania haswa JF-Expert Member Oct 31, 2010 663 99 Sep 2, 2011 #1 hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli.
hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli.
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,193 Sep 2, 2011 #2 Mtanzania haswa said: hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli. Click to expand...

heee! Kwahiyo tusipokee kwa sababu inakuboa wewe?
Mtanzania haswa said: hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli. Click to expand...

heee! Kwahiyo tusipokee kwa sababu inakuboa wewe?
Twilumba JF-Expert Member Dec 5, 2010 11,543 12,404 Sep 2, 2011 #4 Mtanzania haswa said: hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli. Click to expand...

Tilte ya sred yako so hush kaka, by the way hivi kinachoku-bore wewe unadhani kitam-bore mwngne? People are so distingushed brother!.
Mtanzania haswa said: hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli. Click to expand...

Tilte ya sred yako so hush kaka, by the way hivi kinachoku-bore wewe unadhani kitam-bore mwngne? People are so distingushed brother!.
B Bajabiri JF-Expert Member Jan 1, 2011 9,730 1,201 Sep 2, 2011 #5 Even jana walipiga,huwa nakata,air tell nao wanako haka katabia Mtanzania haswa said: hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli. Click to expand...

Even jana walipiga,huwa nakata,air tell nao wanako haka katabia Mtanzania haswa said: hi namba inapigwa na system ya TIGO na ukipokea unasikia ujumbe wa watu wakiongea, so boring kwa kweli...TIGO acheni hizo bana inakela sana kwa kweli. Click to expand...

Duduwasha JF-Expert Member Nov 3, 2010 5,703 3,653 Jul 30, 2012 #6 Dah Even Me Tokea Last Week Napata Msg kuwa Msichana wa Miaka 22 ID Yake kadhaa...Amependa Profile Yangu Kha! ili niongee nae ati Nipige Namba hiyo Sh 1/sek nifurahie Maongezi What is This!!! Hivi Ningekuwa na Mke Si Balaa hilo Tena Ndani oi...
Dah Even Me Tokea Last Week Napata Msg kuwa Msichana wa Miaka 22 ID Yake kadhaa...Amependa Profile Yangu Kha! ili niongee nae ati Nipige Namba hiyo Sh 1/sek nifurahie Maongezi What is This!!! Hivi Ningekuwa na Mke Si Balaa hilo Tena Ndani oi...
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Jul 30, 2012 #7 Inamaana tigo wamekosa ubunifu kabisa!!
Codon JF-Expert Member Dec 16, 2011 628 93 Jul 30, 2012 #8 Tigo kwasasa wajipange!Wanaboa!Sikwahilo tu!
Scofied JF-Expert Member Jun 5, 2012 2,455 1,657 Jul 30, 2012 #9 Tigo bana..hata mtandao wao hauko vizuri kama jina lao...:high5:
M-bongotz JF-Expert Member Jan 7, 2010 1,734 405 Jul 31, 2012 #10 Scofied said: Tigo bana..hata mtandao wao hauko vizuri kama jina lao...:high5: Click to expand... Kweli kabisa,mtandao wao haufikii utanu wa 'tigo'
Scofied said: Tigo bana..hata mtandao wao hauko vizuri kama jina lao...:high5: Click to expand... Kweli kabisa,mtandao wao haufikii utanu wa 'tigo'