CC imetulia... AHahahahahaaJuzi nilikwenda kwa fundi wa nguo kuchukua nguo zangu nilizompa kunishonea...
Wakatika nasubiri zoezi zima la kunishonea likamilike, tukawa tunapiga soga moja mbili tatu. Akagusia jambo ambalo limefanya niandike uzi huu, ili kujiridhisha zaidi "curiosity" kuwa hii imekaaje.
Akanieleza kuhusu Mama mmoja siku za hivi karibuni alikwenda kwake na akawa anahitaji vipande vya vitambaa, vile vinavyokuwa vimebaki baada ya kushona. Kwanza kabisa akamwambia ni swala la Siri na kuna pesa akawa ameahidi kutoa ikiwa atakubaliana na hilo jambo, na kwa mujibu wa fundi anadia ni kiasi cha laki moja aliahidiwa. Mama anadai alitoka kwa Mganga wake na anapaswa kupeleka vipande vya nguo alivyoagizwa ili kutatua matatizo yake. Sasa ni kwamba kila kipande alichopaswa kuchagua ni kile ambacho fundi hakumbuki ni nani alishonewa, kwa hiyo atauliza hiki vipi?, Fundi akijibu hakumbuki ni nani,mama ataweka pembeni kwa matumizi yake.
Baada ya Fundi kueleza hayo, akaishia kucheka cheka pale na akadai kwa usawa huu!
Na mimi nikajiongeza kuwa huyu jamaa atakuwa hajaacha hiyo pesa, katembea na fursa.
Kingine anadai ni kina mama wengi tu wamekuwa wakihitaji. Hii swala limekaaje?
Cc mshana jr
Juzi nilikwenda kwa fundi wa nguo kuchukua nguo zangu nilizompa kunishonea...

Hapo kuna walakini kwakuwa ni lazima iwe ni nguo iliyotumika... Unajua nguo hubeba vinasaba na licha ya vinasaba hubeba anuani yani hii ni nguo ya fulaniMshana Jr
Hii utusaidie kutuletea uzi wake kabisa mkuu wangu itapendeza zaidi, natanguliza shukrani.Hapo kuna walakini kwakuwa ni lazima iwe ni nguo iliyotumika... Unajua nguo hubeba vinasaba na licha ya vinasaba hubeba anuani yani hii ni nguo ya fulani
Nguo mpya sio dili kwenye ushirikina labda tu kama ni kwa ajili ya kutengeneza mvuto dukani kwako