Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Keep dreaming,mtapigwa mpaka msisadikiJambo usilolijua ni usiku wa giza.
CHADEMA Mpya inakuja na CCM Dhaifu itadhihirika from 23 July tulia kijana piga kazi zako la Lumumba online
Kila siku mpya toka iundwe ishazinduliwa zaidi ya mara kumi kwa operesheni na makongamanoJambo usilolijua ni usiku wa giza.
CHADEMA Mpya inakuja na CCM Dhaifu itadhihirika from 23 July tulia kijana piga kazi zako la Lumumba online
Jambo usilolijua ni usiku wa giza.
CHADEMA Mpya inakuja na CCM Dhaifu itadhihirika from 23 July tulia kijana piga kazi zako la Lumumba online
Subiri ulemavu wa kudumu au.......Jambo usilolijua ni usiku wa giza.
CHADEMA Mpya inakuja na CCM Dhaifu itadhihirika from 23 July tulia kijana piga kazi zako la Lumumba online
Ujui kuwa walifungiwa kufanya siasa mpaka 2020 na raisi wetu mpendwa na mtakatifu.Wanabodi,
Naleta habari hii ili chama chetu kifanye kazi kwa faida ya taifa na chama chetu.
Leo nimepita mitaa yetu hapa. Nikawa nadodosa juu ya ukimya wa ndugu yetu na mpendwa wetu Ndugu Mashinji, Katibu Mkuu wa CHADEMA. T
Hoja zenyewe ziko hivi:
Katibu hataki kuonekana na kufanya kazi za nje ya ofisini kwa kuiga aina ya uongozi wa JPM wa kubana matumizi. Lengo lake ni kupunguza matumizi ya chama na kufuata ahadi yake ya kubadili chama na mwonekano wake. Imeonyesha kufanya mikutano mikoani kwake kunatumia hela nyingi na matokeo yake si makubwa kama kujifungia na kuwa na mipango ya maana.
Nikajiuliza, kwani hizo sera zitawafikiaje watendaji wa chini wa chama? Mbona ameonekana kusafiri sana nje ya nchi kwa vitu visivyo na tija kwa chama?
Wanabodi,

Kweli nimeamini kuwa cdm no kiboko ya Maisie yaani kiongozi wa cdm akifanya kazi kimya kimya roho inawauma balaa mnatamani sana aongee mpate cha kusema siyo??Wanabodi,
Naleta habari hii ili chama chetu kifanye kazi kwa faida ya taifa na chama chetu.
Leo nimepita mitaa yetu hapa. Nikawa nadodosa juu ya ukimya wa ndugu yetu na mpendwa wetu Ndugu Mashinji, Katibu Mkuu wa CHADEMA. T
Hoja zenyewe ziko hivi:
Katibu hataki kuonekana na kufanya kazi za nje ya ofisini kwa kuiga aina ya uongozi wa JPM wa kubana matumizi. Lengo lake ni kupunguza matumizi ya chama na kufuata ahadi yake ya kubadili chama na mwonekano wake. Imeonyesha kufanya mikutano mikoani kwake kunatumia hela nyingi na matokeo yake si makubwa kama kujifungia na kuwa na mipango ya maana.
Nikajiuliza, kwani hizo sera zitawafikiaje watendaji wa chini wa chama? Mbona ameonekana kusafiri sana nje ya nchi kwa vitu visivyo na tija kwa chama?
Kwani udhaifu wake unatokana na rais au yeye mwenyewe.Ujui kuwa walifungiwa kufanya siasa mpaka 2020 na raisi wetu mpendwa na mtakatifu.
Kweli nimeamini kuwa cdm no kiboko ya Maisie yaani kiongozi wa cdm akifanya kazi kimya kimya roho inawauma balaa mnatamani sana aongee mpate cha kusema siyo??
Huu ni muda wa maendeleo na sio siasa uchwara kama alivyosema raisi wetu pendwa na malaika.Kwani udhaifu wake unatokana na rais au yeye mwenyewe.
MTOA MADA NI KIPOFUUjui kuwa walifungiwa kufanya siasa mpaka 2020 na raisi wetu mpendwa na mtakatifu.
Inawezekana labda katoroka mirembe siku za karibuni.MTOA MADA NI KIPOFU