Hii mpya! Katibu Mkuu CHADEMA kuiga ya Rais Magufuli

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
4,582
2,783
Wanabodi,

Naleta habari hii ili chama chetu kifanye kazi kwa faida ya taifa.

Leo nimepita mitaa yetu hapa. Nikawa nadodosa juu ya ukimya wa ndugu yetu na mpendwa wetu Ndugu Mashinji, Katibu Mkuu wa CHADEMA. T

Hoja zenyewe ziko hivi:

Katibu hataki kuonekana na kufanya kazi za nje ya ofisini kwa kuiga aina ya uongozi wa JPM wa kubana matumizi. Lengo lake ni kupunguza matumizi ya chama na kufuata ahadi yake ya kubadili chama na mwonekano wake. Imeonyesha kufanya mikutano mikoani kwake kunatumia hela nyingi na matokeo yake si makubwa kama kujifungia na kuwa na mipango ya maana.

Nikajiuliza, kwani hizo sera zitawafikiaje watendaji wa chini wa chama? Mbona ameonekana kusafiri sana nje ya nchi kwa vitu visivyo na tija kwa chama?
 
Jambo usilolijua ni usiku wa giza.

CHADEMA Mpya inakuja na CCM Dhaifu itadhihirika from 23 July tulia kijana piga kazi zako la Lumumba online
 
Hizi habari za kuokoteza hujadiliwa jukwaa la masoro...njoo na mada inayolingana na upeo wa wanajukwaa hili lasivyo utashusha hadhi ya jf. Pole Ila ndo ukweli
 
Dah!! Kwa mpango huo sisi tunasubiri. Anaondoka lini sasa. Maana kama yupo hakuna tumaini la upya.
Jambo usilolijua ni usiku wa giza.

CHADEMA Mpya inakuja na CCM Dhaifu itadhihirika from 23 July tulia kijana piga kazi zako la Lumumba online
 
Wanabodi,

Naleta habari hii ili chama chetu kifanye kazi kwa faida ya taifa na chama chetu.

Leo nimepita mitaa yetu hapa. Nikawa nadodosa juu ya ukimya wa ndugu yetu na mpendwa wetu Ndugu Mashinji, Katibu Mkuu wa CHADEMA. T

Hoja zenyewe ziko hivi:

Katibu hataki kuonekana na kufanya kazi za nje ya ofisini kwa kuiga aina ya uongozi wa JPM wa kubana matumizi. Lengo lake ni kupunguza matumizi ya chama na kufuata ahadi yake ya kubadili chama na mwonekano wake. Imeonyesha kufanya mikutano mikoani kwake kunatumia hela nyingi na matokeo yake si makubwa kama kujifungia na kuwa na mipango ya maana.

Nikajiuliza, kwani hizo sera zitawafikiaje watendaji wa chini wa chama? Mbona ameonekana kusafiri sana nje ya nchi kwa vitu visivyo na tija kwa chama?
Ujui kuwa walifungiwa kufanya siasa mpaka 2020 na raisi wetu mpendwa na mtakatifu.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Wanabodi,

Naleta habari hii ili chama chetu kifanye kazi kwa faida ya taifa na chama chetu.

Leo nimepita mitaa yetu hapa. Nikawa nadodosa juu ya ukimya wa ndugu yetu na mpendwa wetu Ndugu Mashinji, Katibu Mkuu wa CHADEMA. T

Hoja zenyewe ziko hivi:

Katibu hataki kuonekana na kufanya kazi za nje ya ofisini kwa kuiga aina ya uongozi wa JPM wa kubana matumizi. Lengo lake ni kupunguza matumizi ya chama na kufuata ahadi yake ya kubadili chama na mwonekano wake. Imeonyesha kufanya mikutano mikoani kwake kunatumia hela nyingi na matokeo yake si makubwa kama kujifungia na kuwa na mipango ya maana.

Nikajiuliza, kwani hizo sera zitawafikiaje watendaji wa chini wa chama? Mbona ameonekana kusafiri sana nje ya nchi kwa vitu visivyo na tija kwa chama?

Kwani katibu mkuu wenu siku hizi nyie wachwara ni jpm???

Dentist wa ndovu yuko wapi???
 
Haya kachukue buku saba yako LUMUMBA, umetimiza wajibu, na matakwa ya waliokutuma!
 
Wanabodi,

Naleta habari hii ili chama chetu kifanye kazi kwa faida ya taifa na chama chetu.

Leo nimepita mitaa yetu hapa. Nikawa nadodosa juu ya ukimya wa ndugu yetu na mpendwa wetu Ndugu Mashinji, Katibu Mkuu wa CHADEMA. T

Hoja zenyewe ziko hivi:

Katibu hataki kuonekana na kufanya kazi za nje ya ofisini kwa kuiga aina ya uongozi wa JPM wa kubana matumizi. Lengo lake ni kupunguza matumizi ya chama na kufuata ahadi yake ya kubadili chama na mwonekano wake. Imeonyesha kufanya mikutano mikoani kwake kunatumia hela nyingi na matokeo yake si makubwa kama kujifungia na kuwa na mipango ya maana.

Nikajiuliza, kwani hizo sera zitawafikiaje watendaji wa chini wa chama? Mbona ameonekana kusafiri sana nje ya nchi kwa vitu visivyo na tija kwa chama?
Kweli nimeamini kuwa cdm no kiboko ya Maisie yaani kiongozi wa cdm akifanya kazi kimya kimya roho inawauma balaa mnatamani sana aongee mpate cha kusema siyo??
 
mbona tuliopa hapo hatuoni au ndo anafanyia nyumbani kwake?

Back
Top Bottom